Jinsi ya Kurudisha majina Yaliyopotea Kwenye Simu Yako
Jinsi ya Kurudisha Majina yaliopotea Kwenye Simu yako
Fuata njia hizi kama unataka kurudisha majina yaliyo potea kwenye simu yako
Je umepoteza simu na unaitaji kurudisha majina yako yaliyopotea au labda umeyafuta kwa bahati mbaya? usijali, zifuatazo ni njia za kurudisha majina yako yaliyopotea kwa kutumia account yako ya Google.
Kwanza kumbuka kwamba nilazima simu yako iwe imesejiliwa na google ili uweze kupata majina yako yalio potea, kama ulisha jisajili na google ni rahisi sana kupata contact zako zilizo potea. Google hutumia technolojia ya “synced” ilikuifadhi majina yako katika server zao, kwahiyo basi kila mara unapoingiza jina jipya katika smartphone yako google ulihifadhi jina ilo kwenye server yao. Kwanjia hii unaweza kupata majina yalio potea, meseji zailizo potea kwa muda usiopungua siku 30.
Comments
Post a Comment